NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

....*SHAMBA..SHAMBA..SHAMBA* Shamba/Liko kwenye makazi ya watu heka 4..lipo bagamoyo maeneo mazuri yenye rutuba kwa Kilomo... Shamba lipo upande kama unaenda bagamoyo mjini kutokea Mwenge unashuka kituo cha kilomo..mkono huo wakushoto km3 mpaka kwenye eneo husika.Eneo linafaa pia kwa kuishi, kufuga mifugo na kilimo Bei ni Million 30 na mazungumzo yapo. Simu 0713522168 0762865590.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts