NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

..*FURSA YA KUPATA KUFANIKISHA KUPATA BARCODE (MSIMBOMILIA) TOKA GS1* Naitwa clementina... Nafanya kazi na GS1 Tanzania, tunahusika na bar codes, Barcode ni alama za mistari amabazo hutumika kubeba taarifa za bidhaa husika kwenye mnyororo mzima wa thamani. Umuhimu wa barcode Bidhaa yako itakubalika kwenye masoko ya ndani na nje ya nchi... Eg huwezi kupeleka bidhaa yako supermarket kama haina barcode Barcode itakusaidia kuongeza mauzo ya bidhaa zako ambazo ziko tayari. Naongelea bidhaa ambazo zimeshafungashwa vizuri tayari kwa kuingia sokoni. Barcode itakusaidia kutanua wigo wa soko.... Barcode pia itakusaidia kupata mrejesho wa bidhaa zako sokoni... Huwezi kufanikiwa bila kujua mwenendo wa bidhaa zako zikiwa sokoni. Hapa naongelea ukiwa tayari umeweka bidhaa yako barcode na ushaiingiza sokoni itakuwa rahisi kwa wewe kupata mrejesho wakati wowote utakapohitaji. Na hii itakusaidia kufanya uchambuzi wa kina wa jinsi yani utaweza kuipeleka biashara yako mbele zaidi. Nawakaribisha wajasirimali wote ambao hamjaweka barcode kwenye bidhaa zenu. Yani nasema hivi mnajicheleweshea mafanikio kwa kutokuwa na barcode kwenye bidhaa zenu. Karibuni wote. *Napatikana kwenye 0757242411* ☝🏿☝🏿☝🏿☝🏿☝🏿 *_Naomba muwasiliane na hiyo namba, msinipigie mimi_* Tangazo limerushwa kupitia *Niunganishe Duniani* ambao ni _wakala wa masoko na matangazo_.

2 comments:

  1. Gharama za kupata barcode ni kiasi gan na je hutumika kwa muda gan baada ya kuilipia?

    ReplyDelete

Popular Posts