NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

Mayai ya kuku wa kienyeji pure na si chotara toka Moshi Kilimanjaro. Trey la mayai 30 utalipata kwa bei ya shilingi 15,000 tu.Pia tuna uza kwa bei ya jumla kuanzia trey 10. Ni sh. 13,500 kwa trey. Toa oda yako sasa utaletewa popote ulipo Dar es salaam utachangia nauli.Tunawapenda nakuwajali wateja wetu. Ombi langu ni uaminifu na ukweli pindi utoapo oda.Tunapokea oda na siku 3 baada ya kupokea oda unaletewa mzigo. Kwa mawasiliano zaidi piga na tuma msg kwenye namba hizi. What's app 0768113138 na 0788817146 Karibuni sana...

No comments:

Post a Comment

Popular Posts