NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

..Ofa: Jipatie miche bora ya Papai CHOTARA aina ya *Malikia F1* iliyo oteshwa kwa uangalizi wa kitaalam yenye uwezo wa kubeba matunda mengi na makubwa yanayo kidhi soko la ndani na nnje ya nchi. lakini pia huweza kuhimili hali mbaya ya hewa na kukabiliana na magonjwa na hivyo kua na uwezo wa kutoa matunda muda mfupi tu baada ya kuoteshwa. Inapatikana kwa bei ya Tsh.2,000/= tu badala ya 3,000 kwa mche na itakufikia popote ulipo Tanzania, pia utapewa ushauri wa kitaalam wa kilimo cha Papai salama kibiashara bure bila malipo.. Tunapatikana kanda ya Mashariki: wasiliana nasi kupitia *0716 288338,* *0753 334774.* _Dar es salaam_ . pia tunafunga mfumo wa umwagiliaji kwa njia ya matone(drip irrigation) kwa gharama nafuu sana...

No comments:

Post a Comment

Popular Posts