NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

*``` JAZAM TAILORS* Jazam Tailors ni kampuni ya ushonaji nguo iliyoanzishwa kwa malengo ya kuhakikisha kila mtanzania anapendeza kwa kuvaa nguo zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu. *KWANINI JAZAM TAILORS* 1. Mafundi waliobobea kwenye tasnia ya ushonaji kwa zaidi ya miaka 10. 2. Bei nafuu za kushona zinazoendana na hali halisi za watanzania walio wengi. 3. Mazingira mazuri ya ofisi (Full Ac,free WIFI). 4.Tunashona nguo zenye ubora wa hali ya juu na kwa matakwa ya mteja (customization). 5. Tunashona nguo ndani ya siku 3 tu baada ya kuchukua vipimo. 6. Tunatoa huduma ya kuchukua vipimo nyumbani/ofisini, mikoa yote ya Tanzania pamoja na kukuletea nguo baada ya kushona (free delivery). 7. Eneo kubwa la parking ya bure kwa wenye magari (Free parking). 8.Punguzo kubwa la bei kwa Maharusi na sare za ofisini na shule. 9. Tunatoa huduma kila siku kuanzia saa 3 asubuhi mpaka saa 2 usiku. 10. Tunashona nguo za aina zote. 11. Tunafanya kazi na mawakala/agents na tunatoa commission nzuri kwa wanaotuletea kazi. 12.Ni walipa kodi No 1 kwa maendeleo ya taifa.(EFD Receipt zinapatikana). Tupo mwenge barabara ya TRA karibu na msikiti. Mawasiliano Instagram @jazamtailors Office 0653367716 Email: jazamtailoring@gmai.com *_SMART.QUALITY.AFFORDABLE_*```..

No comments:

Post a Comment

Popular Posts