NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

Tangazo Tangazo Tangazo

*TAARIFA YA KUTOKEA HITILAFU MKOA WA KINONDONI KUSINI*

Tunawataarifu Wateja wetu wa Mkoa wa Kinondoni Kusini kuwa,  imetokea hitilafu katika njia ya kusafirisha umeme ya msongo wa kilovolti 33 *NORDIC1* majira ya Saa 12 jioni na kusababisha baadhi ya maeneo kukosa umeme.

*MAENEO YANAYOKOSA UMEME NI*
Mbezi makabe, Goba, Mpigi, Kimara B,King'ong'o, baadhi ya maeneo ya Temboni, Changanyikeni na baadhi ya eneo la Makongo juu

Wataalamu wetu na  mafundi wanaendelea na jitihada za kuhakikisha umeme unarejea katika hali yake ya kawaida kwa haraka.

Kwa mawasiliano

Kituo cha miito ya simu Makao Makuu +255 222 194 400 na +255 768 985 100

Tovuti: www.tanesco.co.tz, mitandao ya kijamii:

Mitandao ya kijamii

Twitter, www.twitter.com/tanescoyetu,

 Facebook https://www.facebook.com/tanescoyetultd/

IMETOLEWA NA:

OFISI YA UHUSIANO
TANESCO MAKAO MAKUU

APRILI 04 2018...

No comments:

Post a Comment

Popular Posts