NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

*SHAMBA..SHAMBA..SHAMBA* Shamba/Liko kwenye makazi ya watu heka 4..kiko bagamoyo maeneo ya Kilomo...ukiwa unaenda bagamoyo mjini kutokea Mwenge unashuka kituo cha kilomo..mkono huo wakushoto km3 mpaka kwenye eneo husika.Eneo linafaa pia kwa kuishi..mifugo na kilimo.kipo kwenye makazi yawatu.bei Mil 30 ..mazungumzo yapo...

No comments:

Post a Comment

Popular Posts