NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

Mradi wa kilimo cha pilipilo Mchanguo kwa wenye shamba BINAFSI Mradi huu utaanza tarehe 20 Mei 2018.. *MCHANGANUO WA KILIMO CHA PILIPILI EKARI 1* *SEHEMU A* 1. Uanachama 50,000 2. Mkataba 20,000 *JUMLA 70,000* *SEHEMU B* 1. Mbegu (seeds). 320,000 2. Viwatilifu (Pesticides Control) 200,000 3. Mbolea (Fertilizers compost 24 tons) 420,000 4. Mtaalam- (Kufundisha vibarua, kitalu kuvuna mpaka utunzaji) 2,000,000 *JUMLA B 2,940,000* *SEHEMU C* Kuweka mfumo wa umwagiliaji wa matone *TOTAL 2,634,500* *SEHEMU D* 1. Kukodi shamba shs 500,000 2. Tractor (Plaughing & Harrowing) shs 100,000 3. Water storage tank (sharing cost) shs 250,000 4. Water pump (sharing cost) shs 250,000 *TOTAL 1,100,000* *A+B+C+D=TOTAL INVESTMENT COST 6,744,000* *TARAJIO /MAPATO* Ekari moja (1) =150kg kwa wiki 150kg ×4=600kg (kwa mwezi) 600kg× *4,500* *(Bei ya soko ni shs @ kg)* = *2,700,000* 2,700,000×3(miezi) = *8,100,000* 1:Mwaka wa kwanza Mavuno ni Mara mbili =8,100,000×2= *16,200,000* 2:Mwaka wa pili Mavuno ni Mara tatu =8,100,000×3= *24,300,000* 3: Mwaka wa tatu Mavuno ni Mara tatu =8,100,000×3= *24,300,000* *Jumla ya mapato* (Mavuno) kwa miaka mitatu = *64,800,000* Gharama zitakazoendelea (miaka mitatu) Pilizi, umwagiliaji na mbolea. *NB:* Gharama za uwekezaji pilipili kwa Mwaka wa kwanza pamoja na matumizi yote kwa miaka mitatu ya kilimo cha pilipili *Makadirio matumizi=16,744,000* *64,800,000* Mapato(3yrs) *toa* *16,744,000* -Matumizi (3yrs) *48,056,000 -Faida* *(3yrs)* _Mkulima ni shamba na kiwanda_ *© MKIKITA*. Simu 0713522168-meneja mauzo 0715785869..

No comments:

Post a Comment

Popular Posts