NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

...Kuwa milionea kwa kulima pilipili kichaa na Mkikita Miradi huu wa mashamba ya pamoja(bloc farming) kiwangwa bagamoyo utaanza tarehe20 Mei 2018.. *MCHANGANUO WA KILIMO CHA PILIPILI EKARI 1* *SEHEMU A* 1. Uanachama 50,000 2. Mkataba 20,000 *JUMLA 70,000* *SEHEMU B* 1. Mbegu (seeds). 320,000 2. Viwatilifu (Pesticides Control) 200,000 3. Mbolea (Fertilizers compost 24 tons) 420,000 4. Mtaalam- (Kufundisha vibarua, kitalu kuvuna mpaka utunzaji) 2,000,000 *JUMLA B 2,940,000* *SEHEMU C* Kuweka mfumo wa umwagiliaji wa matone *TOTAL 2,634,500* *SEHEMU D* 1. Kukodi shamba shs 500,000 2. Tractor (Plaughing & Harrowing) shs 100,000 3. Water storage tank (sharing cost) shs 250,000 4. Water pump (sharing cost) shs 250,000 *TOTAL 1,100,000* *A+B+C+D=TOTAL INVESTMENT COST 6,744,000* *TARAJIO /MAPATO* Ekari moja (1) =150kg kwa wiki 150kg ×4=600kg (kwa mwezi) 600kg× *4,500* *(Bei ya soko ni shs @ kg)* = *2,700,000* 2,700,000×3(miezi) = *8,100,000* 1:Mwaka wa kwanza Mavuno ni Mara mbili =8,100,000×2= *16,200,000* 2:Mwaka wa pili Mavuno ni Mara tatu =8,100,000×3= *24,300,000* 3: Mwaka wa tatu Mavuno ni Mara tatu =8,100,000×3= *24,300,000* *Jumla ya mapato* (Mavuno) kwa miaka mitatu = *64,800,000* Gharama zitakazoendelea (miaka mitatu) Pilizi, umwagiliaji na mbolea. *NB:* Gharama za uwekezaji pilipili kwa Mwaka wa kwanza pamoja na matumizi yote kwa miaka mitatu ya kilimo cha pilipili *Makadirio matumizi=15,644,000* *64,800,000* Mapato(3yrs) *toa* *16,744,000* -Matumizi (3yrs) *48,056,000 -Faida* *(3yrs)* _Mkulima ni shamba na kiwanda_ *© MKIKITA*. Simu 0713522168-meneja mauzo 0715785869

3 comments:

  1. Mimi ninalo shamba langu heka 8...nataka kua mkulima wa pilipili kichwa, Ila sihitaji ikundi, nataka kulima binafsi, inawezekana?...
    Km inawezekana nifuate njia zipi ili nitambulike na siko?

    ReplyDelete
  2. Nina eneo la kutosha hekari nane na nilitaka kuongeza naweza. Pia Kuna uwezekano kushawishi watu wengi kulima.
    Maji no yakutosha
    Naomba kushirikiana nanyi katika KILIMO na ushawishi kwa waatu walime. 0754741408

    ReplyDelete

Popular Posts