NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

.🌿JANDE HERBAL GreenLIFE 🌿 .....,. ................................. Jande herbal greenlife, No wataalamu na mabingwa wa kuandaa na kutengeneza unga wa mti au mmea wa MLONGE wenye uwezo wa kutibu na kupambana na magonjwa zaidi ya mamia ktk mwili wa binadamu. MLONGE ni NINI ?? MLONGE ni mti/mmea wa jenasi ya pekee ya jamii ya moringacease. Asili ya mti huu ni uhindi/ India lakini siku hizi mti huu hupandwa ktk sehemu tofauti duniani hasa ktk kanda za tropiki na nusu tropiki. MLONGE ni chakula bora haswaa kwa mifugo na ni Dawa muhimu kwa binadamu.mti wa MLONGE ni moja ya miti ya maajabu kuwahi kutokea hapa duniani, hasa baada ya kufanyiwa utafiti na wanasayansi wa uingereza na kugundua kuwa una uwezo wa kutibu na kupambana na magonjwa zaidi ya mamia mwilini, ikiwemo vdonda vya tumbo,malaria,homa ya matumbo,maambukizi ya mfumo wa mkojo n.k. 🌿VIRUTUBISHO KWENYE MLONGE🌿 Mti huu umeonekana kuwa na virutubisho na protini za kutosha ikiwemo na madini mbalimbali ukilinganisha na vyakula vya kawaida na matunda. MLONGE una jumla ya virutubisho 92,viondoa sumu 46 na viondoa uvimbe mbalimbali 36. Pia MLONGE una asidi amino 18 na asidi amino muhimu 9 ambazo miili yetu haina uwezo wa kuzizalisha.na kuzitengeneza...... 🌿MLONGE UNA NINI NDANI YAKE ?? 🌿 Mlonge ume contain vitu vifuatavyo....... 1. Una kalshiamu Mara 17 zaidi ya ile ya maziwa ya ng'ombe 2. Vtamini C Mara 7 zaidi ya chungwa. 3. Potashiamu Mara 15 ya ile ya ndizi. 4. Vitamini A Mara 10 ya ile kwenye karoti 5. Protini Mara 9 zaidi ya mtindi/yogurt. 6.Madini chuma/iron Mara 15 zaidi ya spinachi. 7. Vitamini vyote. 8. Una omega 3,6 na 9. 9. Una kiasi cha kutosha cha madini ya zinc/ zinki 10. Una klorofili mara 4 zaidi ya ile ya kwwnye nyasi na majani ya ngano. N.k 🌿FAIDA ZA MLONGE 🌿 √Husaidia kutibu vidonda vya tumbo. √Husaidia kupambana na sukari mwilini √Hupambana na shinikizo LA juu la damu √ Homa ya matumbo √ Hutibu maambukizi ya mfumo wa mkojo ikiwemo U.T.I √ Malaria √Hutibu maumivu na matatizo ya mishipa √Hutuliza mapigo ya juu ya moyo √ Hutuliza na kuondoa wasiwasi √ Kikohozi √Maumivu wakati wa hedhi √Huongeza uwingi wa maziwa kwa mama anaenyonyesha √Huondoa makunyanzi/Ant aging √ Miwasho ktk ngozi √Maumivu ya kichwa √ Inazuia,kushusha na kuondoa sumu mwilini √Husafisha kibofu,INI figo,mishipa ya damu na mfumo mzima wa mkojo. √ Maumivu mwilini na kichwa kizito. √ Huboresha kinga ya mwili. √Hupunguza uzito na nyama uzembe. N.k .............. 🌿SASA HUDUMA IPO KARIBU YAKO 🌿 Jpatie unga wa MLONGE/MLONGE leaf powder kutoka "JANDE HERBAL GREEN LIFE" uweze kuanza kutumia ili urejeshe afya yako na kuimarisha kinga ya mwili wako. Jande herbal green life tunakupatia unga wa mlonge wenye ujazo wa gramm 150 (150gm) ulio katka pakti maalumu yenye usalama zaidi. Nje ya pakti zetu tumeweka maelezo na faida zake ikiwemo na jinsi ya kutumia. 🌿🌿🌿🌿🌿🌿 KUWEZA KUPATA UNGA WA MLONGE,tupigie simu namba: 0757 900 532 0784 785 733 0625 481 164 Note: Mtaji wa kwanza ni afya,Anza kutumia Leo MLONGE leaf powder kwa matokeo chanya.

No comments:

Post a Comment

Popular Posts