NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

Ajira Ajira Ajira..

NJOO KIVITA UPATE KAZI

Uongozi wa Taasisi mpya ya Kilimo Viwanda Tanzania (KIVITA), inayojihusisha na kutoa mafunzo ya kuwajengea uwezo wananchi kuhusu Kilimo Biashara, Masoko na Viwanda, inahitaji vijana wa kike na kiume wa kuwaajiri kwa ajili ya kuratibu mafunzo hayo.

SIFA;
-Awe na Digrii
-Awe na uzoefu wa                   kuratibu mafunzo
-Awe na uzoefu wa masuala ya                       Maendeleo ya Jamii
-Awe na uwezo wa kujitolea katika Kazi za Jamii.
-Pia aweze kufanya Kazi katika mazingira yoyote.

Udahili;Jumatano, Aprili 4,2018 Dar

Mawasiliano;
Edger-0768000262
Adam-0656143785,
Richard-0715264202...

No comments:

Post a Comment

Popular Posts