NUNUA | UZA | PANGA NA KUPANGISHA

UZA HAPA KWA Tsh. 5000 TUU kwa SIKU 5, Contact: 0713522168

Unga wa lishe unauzwa

Zay's Royal Flour ni unga wenye mchanganyiko wa viazilishe, mahindi lishe na soya, ni uji afya ambao husaidia watoto kuongezeka kilo, wenye utapiamlo, wenye matatizo matatizo ya kuona hata kwa wazee, wajawazito na wamama wanaonyonyesha, husaidia kubalance kisukari, husaidia kuzuia canser ya utumbo mkubwa, uji huu humaliza tatizo la constipation ma madonda ya tumbo,
Bei zetu ni 7000/= na jumla ni 6500/=,
Tunapatikanan dodoma, Area C
Contact: 0652923924/0757861943...

No comments:

Post a Comment

Popular Posts