MTANDAO WA KIJANI KIBICHI TANZANIA(MKIKITA) NI MTANDAO WA KILIMO CHA KISASA UNAOJISHUGHULISHA NA 1:UTOAJI WA MAARIFA NA TAARIFA ZA KISASA KUHUSU KILIMO NA UFUGAJI WA KISASA, 2:KUWASAIDIA KIFEDHA, NYENZO, TEKNOLOJIA NA UTAALAMU KWA WANACHAMA WAKE ZAIDI YA 12,000 HAPA NCHINI 3:KUFANYA TAFITI NA KUTAFUTA MASOKO YA KILIMO NA UFUGAJI NDANI NA NJE YA NCHI KWA WANACHAMA WAKE 4:USIMAMIZI WA MASHAMBA 5:MKIKITA INASIMAMIA MIRADI KAMA YA MCHAICHAI, PAPAI SALAMA, PILIPILI KICHAA, MUHOGO, UYOGA, 5:MKIKITA INA MASHAMBA KIWANGWA BAGAMOYO NA KIBITI NA HUYAKODISHA AU KUYAUZA KWA WANACHAMA WAKE KWA GHARAMA NAFUU, OFISI ZETU ZIPO KEKO MATAA YA KWENDA AIRPORT KARIBU NA MKUKI HOUSE NDANI YA JENGO LA CITY FURNITURE GOROFA YA 3(CHUMBA NO.309), KWA MAWASILIANO NA MAELEZO ZAIDI PIGA 0713522168, 0762865590, njoo tulime na kufuga kisasa(kilimo ni ubilionea, stuka sasa)..
No comments:
Post a Comment